MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘ Diamond ’
wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi
Wema amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno
yafuatayo “Thank God
tumemaliza salama…Nd we are Happy it went well…Alahamdulillah….Baadae
inshallah…Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu,
leteeeeers..”
0 comments:
Post a Comment