MAJANGA TENA ; MZEE SMALL AFARIKI DUNIA , TAARIFA KAMILI SOMA HAPA

Muigizaji mkongwe nchini , Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar . Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa 
 presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili . Mtoto wa marehemu aitwaye , Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee 
 Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN !

 Kutoka kushoto ni Mhariri wa Championi Jumatano , 
 Phillip Nkini , Mzee Small enzi za uhai wake, Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally na Mwandishi wa Championi , Hans Mloli wakielekeq nyumbani kwa Mzee Small.. R.I.P
My Blogger Tricks
blogger

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 Mahaba™ All Right Reserved
Designed by Udakutz.