HABARI MPYA

Rss

Showing posts with label Wasanii. Show all posts
Showing posts with label Wasanii. Show all posts
Baada Ya Kutkosa Tuzo Za # MTV MAMA Siku Ya Jana, Hii Ndiyo Kauli Ya Kwanza Ya Diamond Baada Ya Kukosa Tuzo Hizo..!!

Baada Ya Kutkosa Tuzo Za # MTV MAMA Siku Ya Jana, Hii Ndiyo Kauli Ya Kwanza Ya Diamond Baada Ya Kukosa Tuzo Hizo..!!

Baada ya tuzo za Mtv Base kufanyika na Diamond Platnumz kutoka patupu, hii ndiyo kauli yake ya Kwanza kuhusu kilichotokea
Nanukuu "Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema.... Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!... Asante sana #Sheriangoi kwa Suti Hii"
PICHA WEMA SEPETU, DIAMOND WAKIJIACHIA CHUMBANI

PICHA WEMA SEPETU, DIAMOND WAKIJIACHIA CHUMBANI

MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi Wema  amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno yafuatayo “Thank God tumemaliza salama…Nd we are Happy it went well…Alahamdulillah….Baadae inshallah…Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu, leteeeeers..”
Copyright © 2014 Mahaba™ All Right Reserved
Designed by Udakutz.