NATAFUTA HATA BOYFRIEND TU JAMANI UPWEKE UNANIUAA!! ONA HAPA
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious
maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata
ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake...
Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji
kurudi sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu
Mstaarabu, Mpole kiasi ,
Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo...
Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya simu...ntaamua yupi nimtafute nijaribu
nitafute kwa email kama upo serious lameckfredrick90@gmail.com
ReplyDelete