MADAWA YA KULEVYA NOMA SANA..!! TAZAMA YULE VIDEO QUEEN WA WIMBO WA NOORAH (ice cream) ALIVYOKUWA MMBAYA NA KAISHA KABISA SABABU YA MADAWA YA KULEVYA


Hakuna asiye kumbuka how big video ya Noorah aka Baba styles ilivyosumbua TV za watu na ngoma yake ya Ice cream akimshirikisha Sumalee.Mkali huyo ambae aliweza kufanya show kibao katika mikoa mbali mbali na kuwa maarufu vibaya sana, katika mashairi yake kulikuwa na verse kama ” demu mwenye shepu la kukata ndio maana mabishoo wana data coz ana utamu kama Ice cream”.



Sasa hapa vibe imekutana na Miss Ice cream (Doreen) ambae ni video queen wa ngoma hiyo sasa hivi ni mteja mzuri sana maeneo ya Sinza makaburini huku akikataa kufungua sababu ya yeye kuwa mteja lakin akidai msaada kwa jamii au yeyote atakae guswa na mateso yake kwani hali yake ni mbaya sana
Hata kwa kumuona tu na kutoa msaada haraka itakua vyema maana miguu yake imevimba sana na tumbo lake likiwa kubwa huku akiwa ujauzito wowote, this is very sad indeed kwa Doreen . Kwa yoyote anayeweza kumsaidia mrembo huyu ni vyema kufanya hivyo sababu anahitaji maombi.
My Blogger Tricks
blogger

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 Mahaba™ All Right Reserved
Designed by Udakutz.