JINI KABULA "SIZAI TENA NJE YA NDOA"
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa.
Akistorisha na paparazi wetu, Jini
Kabula alisema hawezi kurudia tena jambo hilo kwani anaogopa kuchanganya
damu kwa vile baadaye watoto wanaweza kuja kugombana na kukosa
maelewano hivyo anamuomba Mungu atimize ahadi ya kuolewa ndipo azae.
“Nilizaa na Chuz kwa sababu tulikubaliana kuzaa tu na siyo kuoana hivyo kwa sasa nasubiri niingie kwenye ndoa ndipo nizae, sitaki kuwachanganya watoto wangu,”alisema Jini Kabula.
“Nilizaa na Chuz kwa sababu tulikubaliana kuzaa tu na siyo kuoana hivyo kwa sasa nasubiri niingie kwenye ndoa ndipo nizae, sitaki kuwachanganya watoto wangu,”alisema Jini Kabula.
0 comments:
Post a Comment