JE MAPENZI KWENYE SIMU, HUWEZA KUMFIKISHA MTU KILELENI..!! AU NI KUJIUMIZA TU

https://www.facebook.com/theclicktz
Baadhi ya wapenzi hutumia simu kufanya mapenzi haswa pale wanapo kuwa mbali, hii mara nyingi huleta maafa makubwa haswa pale mmoja wao anapokuwa hajaridhika na tendo hilo kupitia simu, mara nyingi mmoja wao huweza kurubunika kila rahisi hata kufanya mapenzi namtu mwengine aliye karibu ili kumaliza haja zake.Ukweli ni kwamba sio rahisi kumfikisha mwanamke kileleni kupitia simu sana sana tu utamjaza hamu ya kutafuta dawa iliyokaribu ili aweze kukidhi haja zake. Usimfanyie mpenzi wako mapenzi kupitia simu halafu baada ya hapo uchukue muda mrefu kuonana nae, hapo itakula kwako kwani wengi wao hushindwa kujizuia nakujikuta wakitembea na wanaume wengine au wanawake wangine
My Blogger Tricks
blogger

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 Mahaba™ All Right Reserved
Designed by Udakutz.