Home Udaku NASHINDWA KUJIZUIA KUTAJA JINA LA X BOYFRIEND WANGU, HATA NIKIWA NA MCHUMBA ANGU WA SASA NASHINDWA KUJIZUIA KUTAJA JINA LA X BOYFRIEND WANGU, HATA NIKIWA NA MCHUMBA ANGU WA SASA Sijui ni mazoea au vipi yani jina la x wangu limenikaa sana mdomoni hata nikiwa uwanjani na mpenzi wangu wa sasa huwa nalitaja jina lake, au wakati mwingine huwa na muita jina la mpenzi wangu huyo wa zamani. kwekweli ananivumilia sana huwa ananiulizaga nashindwa hata kumjibu , ila nampenda ni jina tu jamani yani haliniishi mdomoni hata tukigombana huwa najisahau namuita frank jina la x boyfriend. Mhh . Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment